Crossover service 2024/2025
Hakika umekuwa ni mwaka wa kipekee sana kwangu na wewe, na ikiwa ni siku ya mwisho wa mwaka 2024, nakukaribisha katika Mkesha Maluum wa kufunga mwaka 2024 hapa Kanisa la Efatha Mwenge Dar es Salaam. Mkesha huu utakuwa ni wa muhimu sana kwani tutapokea Neno la kusimama nalo mwaka mpya tutakaoingia (2025) kutoka kwa Mtume […]
Free